Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, May 9, 2012

RAIS KIKWETE AWASILI ADIS ABABA KWA KONGAMANO LA UCHUMI LA KIMATAIFA KWA AFRICA


Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili hoteli ya Sheraton jijini
Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria
Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya
viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali
duniani.
"Karibu
Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa
Afrika Bi Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete
alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo
April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa
Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na
uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya
Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika
hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa
pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika
linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi
kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya
Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt  Rajiv Shah
katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012  ambako
kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika
linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi
kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Picha na Ikulu

0 comments: