Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, May 7, 2012

SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA AWASILI KIGALI RWANDA KUHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA MASPIKA WA MABUNGE WANACHAMA WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI



 Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kigali
baada ya kupokelewa na Mwenyeji wake Spika wa Bunge la Rwanda Mhe. Rose
Mukantabana (Kushoto). Mhe. Makinda yupo Kigali Rwanda kuhudhuria
Mkutano wa Saba wa Maspika wa Mabunge wananchama wa Nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki utakaofanyika jana

 Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza na Mwenyeji wake Spika wa Bunge
la Rwanda Mhe. Rose Mukantabana mara baada ya Kuwasili Mjini Kigali
kuhudhuria Mkutano wa Saba wa Maspika wa Mabunge wa Nchi wananchama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika jana

Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipata maelezo  ya awali kuhusu Mkutano huo
kutoka kwa maafisa wa Bunge la Tanzania. Wa kwanza Kushoto ni Bi.
Justina Shauri , Afisa Dawati wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Bunge
la Tanzania na Ndg. Charles Mloka, Mkurugenzi wa Kamati za Bunge
anayemuwakilisha Katibu wa Bunge katika Mkutano huo. Picha na Owen
Mwandumbya

0 comments: