Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, December 10, 2012

MISA TAKATIFU ILIYOFANYIKA JUMAPILI DEC 9, 2012, DMV



Fr Shao nyuma kabisa akiwa pamoja na viongozi wa jumuiya ya kikatoliki Md, Anti July Sarwat wa tatu kushoto , akifuatiwa na Elinita wakipata wasaa wa kung’aa baada ya ibada hiyo.
Terry Shomari akiwa na shemeji yake Elinita Mhando Shomari.
Watanzania na Wakenya waliojumuika katika ibada ya kusheherekea Uhuru wa Tanzania bara na Kenya na kuombea mataifa hayo na wale walio na shida mbali mbali huko katika kanisa katoliki la St.Edward Baltimore Md mwishoni mwa juma.Misa hiyo iliendeshwa kwa lugha ya Kiswahili na Padre Evod Shao wa parokia ya Baltimore.
Kulia mdau Rehema Sarmet na mwanae Salima .
Bw.Charles Katera na familia yake katika ibada hiyo.
Kushoto Anti July na mdau mwingine wakipata wasaa wa kung’aa baada ya ibada hiyo.
Uncle Charles Katera.
Mama Katera kulia akiwa na mdau mwingine.
Kulia Mr & Mrs.Magembe wakishehereka na mdau mwingine baada ya ibada hiyo.
Kulia Bw.Eric na Terry wakipata baraka ya chakula.
Watoto nao hawakuwa nyuma mmoja wao akijiandaa kwa show maalum.
Picha kwa hisani ya Sunday Shomari Blog

0 comments: