Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, July 31, 2013

Ngoma Africa Band wawasha moto Jambo Seeheim Festival,Germany


 Chipukizi wa FFU alikuapo
 FFU kazini kwao (mwenye miwani) ni kamanda Ras makunja
 Guitarist Matondo Benda.
 Mr.Jo Jo, Mkaanga Chips wa Ngoma AFrica.
 Ngoma Africa Band Live at jambo seehim,Germany 28.07.2013
Ngoma Africa band on stage Jambo seeheim Festiva 2013
Si nyingine bali ni Ngoma Africa band a.k.a FFU ughaibuni,bendi maarufu yenye
ngome yake kule Ujerumani,chini ya kamanda wao Ras Makunja,bendi hiyo
imefanya kweli siku ya jumapili 28.08.2013 katika maonyesho ya Jambo Seeheim Festival,yaliyofanyika mjini Jugenheim-Seeheim,nchini Ujerumani kuliko ungua shoka mpini ukabaki,kama kawaida yake Ngoma Africa band ilianza kuwasha muziki
mkali na kuwatia kiwewe washabiki waliokuwapo katika onyesho hilo,bendi hiyo yenye utajili wa wanamuziki wenye vipaji akiwemo afande Christian aka Chris-B,
na yule kijana Jonathan Souza a.k.a Jo Jo.
Usikose kupata burudani za FFU at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com

0 comments: