Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, July 31, 2013

WASHINDI WA TUZO ZA HABARI ZA TANAPA WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA KRUGER NCHINI AFRIKA YA KUSINI

IMG_0166  
Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa katika lango la kuingilia Hifadhi ya Taifa ya Kruger kwa ziara ya kujifunza. Kutoka kushoto ni Phinias Bashaya  (Mwananchi); Jasper Masika Mtanzania anayeishi Johannesburg; Lilian Shirima (TBC 1); Albano Midello (Nipashe); Alex Magwiza (TBC Taifa) na Festo Sikagonamo wa ITV. IMG_0177 
Swala wakivinjari katika Hifadhi ya Kruger
IMG_0193 
Twiga Hifadhini  Kruger            
 Pascal Shelutete
PUBLIC RELATIONS MANAGER
TANZANIA NATIONAL PARKS

0 comments: