| Wana-CCM wakingia kwenye park Wilson ya mji wa Vallejo katika shughuli za kuitangaza nchi yao. |
| Mwenyekiti wa CCM (California) - Josephine M (kulia). akiwa akibadilishana mawazo na Lilibeth Assera toka Vallejo Sister City. |
| Katibu wa CCM (California) Erick B. (kushoto) akiwa katika maongezi ya furaha na mwenyeji wake. |
| Mjumbe Stella B (kushoto). akipata ukodak na mwenyeji wake. |
| Wajumbe CCM katika sakata la kutangaza nchi yao "Tanzania" |
PICHA ZAIDI INGIA HAPA VIJIMAMBO BLOG
0 comments:
Post a Comment