Natuma hii Tamako Rasmi (Official Statement) Kutoka Familia ya Buyoya Paul Biswalo (32 years old). Buyoya ni mtoto wa marehemu Prof. Paul Biswalo aliyefundisha UDSM kwa miaka mingi. Amepotea tangu Jumanne wiki iliyopita, baada ya kuzama maji katika Mto Chattahoochee huko Georgia. Alikuwa na kikundi ambao walikuwa walikuwa wanatalii kwa boti ndo akaanguka majini. Hadi naandika hii, bado hajapatikana.
Kuna habari zaidi kwenye Blogu yangu Swahili Time pamoja na Tamko Kutoka National Park Service ya USA:
Asante
Ni mimi,
Chemi Che-Mponda Kadete
Cambridge, MA USA
0 comments:
Post a Comment