Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Saturday, June 7, 2014

PICHA MBALIMBALI ZA DIAMOND KUELEKEA TUZO ZA MTV LEO


Diamond akiwa kwenye sehemu tofauti mjini Durban, Afrika Kusini akiwa kwenye matayarisho ya Tuzo za MTV MAMAs.
Fainali za tuzo za MTV MAMAs zikifanyika  siku ya leo Jumamosi June 7, 2014 mjini Durban, Afrika Kusini huku Bongo ikiwakilishwa na Diamond Platinum, kituo cha runinga cha MTV Base (DStv Channel 322) na MTV (DStv Channel 130) zitaonyesha fainali hizo usikose kutazama




 










0 comments: