Ni Masaa machache kabla ya kuanza kwa tuzo za MTV MAMA Awards na Tayari Ommy Dimpoz , Wema Sepetu na Aunty Ezekiel wameanza kujirekodi huku wakiimba nyimbo ya “I Gotta feeling” ya Black eyed peas yenye mistari inayoashiria kumtakia ushindi Diamond Platnumz Usiku wa leo…

0 comments:
Post a Comment