Balozi
wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata
Mula mula akiwa kwenye picha ya pamoja na wagombea uongozi DMV, wajumbe
wa bodi na wajumbe wa tume ya uchaguzi kwenye ofisi za ubaloi Washington
Dc Ijumaa Julai 18.
Mgombea wa nafasi ya kaimu katibu Bi.Bernadetta Kaiza akiwa na katibu wa tume ya uchaguzi Bi.AshaNyag’anyi.
Anti Asha kushoto akimpa endorsement mgombea wa nafasi ya makamu rais Bi.Salma huku wakipata futari.
Bw.Eliudi Mbowe kushoto akipata futari baada ya kikao na mgombea wa nafasi ya kaimu katibu Bw.Solomon Cris.
Bi.Nyami akipata futari.
0 comments:
Post a Comment