Nancy Lazaro Mwaisaka akiwa ndani ya ukumbi wa
Town Hall ambapo baadae yeye na wenzake wataungana katika mkutano na Rais wa Marekani Obama.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akiingia kwenye ukumbi wa mkutano wa Town Hall ambao baadaye yeye na viongozi vijana wenzie watakutana na Rais Barak Obama wa Marekani atakapozungumza nao jijini Washington DC.
Hii
ni sehemu ya program ya mafunzo kwa viongozi wadogo walioonyesha
dira toka nchi zote za Afrika (most promising young African leaders) .
Program hii imeanzishwa na Rais Obama mwenyewe.
Miongoni
mwa watanzania wachache waliopata fursa ya kuhudhuria ni Naibu Waziri
wa Nishati na Madini Mhe. Steven Masele na Mhe. Joshua
Nassari. Watakutana pia na Waziri wa mambo ya nje wa marekani John Kerry
na Mke wa Rais Obama Bi Michelle Obama Pamoja na maseneta, Magavana,
wafanyabiashara wakubwa an watu wengine mashuhuri
0 comments:
Post a Comment