Promoter " DMK " Baada ya kuipokea Tuzo Hiyo ya IRAWMA kwa niaba ya DIAMOND PLATNUMZ
Diamond hakuweza kufika kwenye tuzo hizo zilizofanyikia Florida
kwa mwaka huu kutokana na tarehe kugongana na shughuli zake za
kazi.Diamond ameweza kujishindia tuzo 14 mwaka huu pekee ikiwa ni pamoja
na Tuzo 7 za Kilimanjaro Award na 7 za kimataifa.Bwana "DMK" amepokea Tuzo hiyo kwa niaba ya Msanii Diamond na
kwasasa Tuzo hiyo iko Njiani Kuelekea Tanzania.Mungu azidi kumjalia
afya Njema Mwanamuziki huyo kwani anaipeperusha Vyema Bendera ya
Tanzania.
Chanzo: Vijimambo Blog
0 comments:
Post a Comment