Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Monday, December 29, 2014

Misa ya Kumbukumbu ya Col. Clement Xavier Mwihava.

 Col. Clement Xavier Mwihava enzi ya uhai wake

Familia ya Mwihava inapenda kuwakaribisha nyote, kwenye misa ya kumbukumbu ya baba yao mpendwa. Col. Clement Xavier Mwihava (baba yao mzazi Cane Mwihava na Derick Mwihava) Aliye fariki Tanzania December 26, 2014
Misa itafanyika Jumapili January 4, 2015.
Kuanzia saa nane mchana (2pm) katika kanisa la St. Edwards Roman Catholic Church  Anuani ni 
901 Poplar Grove St, 
Baltimore, MD 21216, USA

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na
Cane Mwihava 301 806 4699
Vitalis Gunda 240 383 6950
Karibuni sana

0 comments: