Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Thursday, October 8, 2015

TANGAZO LA MSIBA NEW YORK NA ZANZIBAR WA BI AISHA HEMED


Familia ya Bwana Mohammed wa Brooklyn inasikitika kutangaza Msiba wa mama Yao Bi Aisha Hemed kilichotokea Leo Zanzibar na maziko yalikuwa leo October 07,2015.Bi Aisha Hemed ni mama Mkwe wa Bwana Mohammed na Mama mzazi wa mkewe Bi Fatma Omar wa Brooklyn.
Jumuiya ya Watanzania New York na vitongoji vyake inaungana na Familia katika Msiba huu mzito wa mwanajumuiya mwenzetu.Tunasisitiza Wanajumuiya kuungana Na wanafamilia katika kuwafariji wafiwa pamoja Na kumuombea dua Mama yetu mpenzi Mwenyezi Mungu amsameh makosa yake na awape wafiwa wote Subra.Ameen.

Msiba utakuwa Address hii.
 341 Logan street,Brooklyn,NY.
Taarifa zaidi zitafuata Baadae.
Mawasiliano:

Moh'd......2345218281
Fatma Omar..3472044277
Tahir Bilal..9173355132

Uongozi
NY Tanzanian Community.

0 comments: