Tayari
‘Icon’ wa Tanzania Diamond Platnumz ‘Dangote wa Bongo’ ameweza kuibuka
na ushindi wa tuzo tatu katika usiku wa utoaji wa tuzo Africa Muzik
Magazine Award ‘AFRIMMA 2015’. Marekani katika mji wa Texas.
(Pichani
ni baada ya ushindi huo, Diamond aliweza kuweka picha yake hiyo kupitia
mitandao yake yote ya kijamii na kuandika: I realy don’t know What to
say …dha! hata sijui nizungumze nini…
(Eeh
Mungu baba tunakushukuru sana kwa kuzidi kuunyanyua na kuupa Thamani
mziki wetu wa Afrika Mashariki…tafadhali endelea kutushika mkono,
usituache)
#BestDanceVideo
#EastAfricanArtistOfTheYear #AfricanArtistOfYear #afrimma2015″ Hivyo
ndivyo alivyofunguka Diamond katika kurasa zake za mitandao ya kijamii
huku akipata hongera nyingi kutoka kwa mashabiki wake mbalimbali.
Diamond akiwa na Basketmouth wakati wa tuzo hizo jana usiku
Modewjiblog inakuletea zaidi habari za tuzo hizo hapa chini:
AFRIMMA 2015: First Photos Of Diamond, Yemi Alade, Kcee, Basketmouth, & More | (+ FULL LIST OF WINNERS)
For the event, red carpet was hosted by Emma Nyra and the show was hosted byBasketmouth and Kansiime.
See the list of winners below.
Best Male (South Africa) – AKA Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha Best Male (West Africa) – Davido Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee Best Female (West Africa) – Yemi Alade AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive’ Best DJ (US) – DJ Simplesimon Best Newcomer – Ommy Dimpoz Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me’ Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana’ Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba’ Artist of the Year – Diamond Platnumz Legendary Award – Yossou N’Dou
See the first photos.
0 comments:
Post a Comment