Pages

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

Wednesday, July 26, 2017

FRANCIS DAMIANO DAMAS ASHINDA MEDALI YA SHABA MASHINDANO YA VIJANA YA JUMUIYA YA MADOLA NCHINI BAHAMAS



Kijana Francis Damiano Damas (17)  ametwaa medaili ya shaba katika mbio za mita 3000  kwenye  mashindano ya sita  vijana kutoka  nchi za Jumuiya ya Madola yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini  Nassau nchini Bahamas. Picha ya juu inamuonesha Kijana Francis Damiano Damas akiwa na wenzake Collins (kushoto) Kiongozi wa msafara Mwinga Mwanjala (katikati), kulia ni Celina Itatiro (14) na wa pili kulia ni Regina (15)


0 comments: